Love Tanzania Festival imeanza jana
kwa Viwanja vya Jangwani kuwekwa wakfu,Pia
watendakazi kupewa madara namna ya kuhudumia watu,Idadi ya watu inayotegemewa
kuwepo ni kubwa sana ikidhaniwa kuwa haijwahi tokea Tanzania.
Love Tanzania Festival imekutanisha watumishi wa makanisa
mengi nchini na kusahau tofauti zao za kidini kwa ajili kuujenga mwili wa
Kristo.
|
Andrew Palau akihubiri jana wakati wakiweka wakfu
viwanja hivyo. |
|
Jukwaa linalo tumika katika Love Tanzania
Festival likiwa limetoka Nchi ya jirani zetu Uganda na Sound system kwa Ajili ya
Ubora wa Event hiyo. |
|
Pona,Sam na wengine wakifanya mazoezi kwa ajili
ya Sound check siku ya jana kakika viwanja vya
Jangwanai |
|
Christina Shusho,Upendo Nkone na Pastor Safari
wakifanya mazoezi kwa ajili
kuhakikisha kila kitu kina kuwa
sawa.
|
|
Watendakazi wakipewa darasa jinsi watakavyo
hudumia watu katika Event
hiyo
|
|
Pastor Safari na Obedi wa The Voice wakiteta jambo
baada ya majaribio |
|
Upendo Nkone akisalimiana na Baadhi ya Viongozi
wa Makanisa waliokuwepo viwanjani hapo,kwa mbali Christina Shusho naye
alikuwepo. |
|
Wanamziki wakisikiliza Neno kwa makini kutoka kwa
Mtumishi wa Mungu Andrwe Palau |
|
Upendo Nkone na Christina Shusho mara wakutana na camera ya
Blogger |
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni