Jumanne, 21 Julai 2015

TAZAMA NYIMBO MPYA ZA CHRISTINA SHUSHO HAPA

Mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili nchini Tanzania Christina shusho ameendelea kutoa nyimbo zake mpya kupitia mitaandao ya kijamii ya you tube. kwa sasa ameachia nyimbo zake mpya 2 ambazo tayari zinatazamwa na watu wengi mtandaoni. wimbo mmojawapo  ni All I need ambao ameuimba sehemu kubwa ka kiingleza na kuweka kiswahili kidogo, na wimbo mwingine ni Nangoja ambao umeimbwa kwa kiswahili tupu na sub title za kingleza. mpaka sasa Christina Shusho ameshatoa nyimbo 4 mpya Ninang'ara, I gonna work for the lord, Nangoja na All I need  watengenezaji wa video ni Mind vision International


Wimbo mwingine mpya wa Christina Shusho ni huu hapa chini umeibwa sehemu kubwa kwa lugha ya kiingleza unaitwa All I Need


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni