Alhamisi, 23 Julai 2015

MAPOKEZI YA KRYSTAAL KUTOKEA JULIUS NYERERE AIRPORT JANA

A18 
Kundi la KRYSTAAL lenye makazi yake nchini Canada Toronto limetua leo Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere…..Wakiambatana na wapigaji wao KRYSTAAL wamepokelewa na wenyeji wao The next level team pamoja na watu mbalimbali kutoka kona ya Tanzania.Kundi hili litafanya huduma na Next Level kwa wiki moja na baada ya hapo watakua wakirejea makwao……Hivyo uongozi mzima wa Kanisa la City Christan Centre Upanga lina wakaribisha watanzania wote kuja kuhudumiwa na waimbaji hawa wa Kimataifa.
Hapa chini nimekuwekea picha za mapokezi yao mdau wangu.
A1 A2 A3
Baunsa maalumu kwaajili ya kuwapokea KRYSTAA
A10
Ready For Them….
A4
Team Chomoza Airport….
A11
A9
A12
A5 A6
Samuel Sasali kutoka Chomoza ya Clouds TV akifanya yake.
A7 A8     A13 A14 A15
Team Kristal
A16 A17


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni