Jumanne, 21 Julai 2015

MARTHA MWAIPAJA NA BEATRICE MWAIPAJA WAZINDUA DVD YAO "NIKO HAPA"11741772_1444089789250568_141639827_n(1)
Waimbaji wa muziki wa injili ambao ni ndugu wa pamoja Martha Mwaipaja na Beatrice Mwaipaja siku ya jana walifanya uzinduzi wa DVD yao *NIKO HAPA* katika kanisa la Pastor John Said Ubungo Extenal.Hapa nimekuwekea picha za tukio hilo
Naomba radhi kwa muonekana usio mzuri wa picha
11716070_1444088939250653_900698899_n - Copy 11737036_1444079392584941_966252970_n - Copy
Beatrice Mwaipaja
11739497_1444090829250464_584787940_n 11741750_1444079969251550_814036980_n 11741772_1444089789250568_141639827_n
Martha Mwaipaja
  11748545_1444228922569988_1437404529_n 11748567_1444230549236492_1723779368_n(1)  11748639_1444228989236648_713959953_n(1) 11748712_1444239639235583_434648189_n    11749825_1444089505917263_1602442132_n 11751182_1444089395917274_1311973926_n 11753788_1444239709235576_1291288070_n
Watumishi wa Mungu wakiombea uzinduzi wa DVD *NIKO HAPA*
11756458_1444225322570348_2045376629_n 11759485_1444232865902927_1689927203_n 11774369_1444231909236356_368745585_n
Swahiba Emmanuel Mbasha alikuwepo.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni