Jumanne, 7 Julai 2015

HIVI NDIVYO PENUEL ILIVYOKUWA KAWE LIVING WATER

PENUEL Maana yake mahala pa Kukutana na Mungu uso kwa uso.(Udhihilisho wa Utukufu wa Mungu) Mwanzo 32:22-30,PENUEL 2015 nikusanyiko la mafundisho ya Neno la Mungu likiwa limelenga ukutane na Mungu kupitia haja ya moyo wako katika kila kona ya maisha yako,PEENUEL 2015 likijumuisha watumishi wa Mungu waliotoka katika nchi mbalimbali za Afrika  kwa mwaka huu watumishi walitoka Afrika Kusini,DRC,Kenya na Tanzania.


Apostle Onesmo Ndegi na Kiongozi wa huduma ya Living Water Centre ndiye mwandaaji wa Kusanyiko hilo ambapo hapo mwanzo miaka ya nyuma lilikuwa likifanyika ila likijulikana kwa majina tofauti tofauti,lakini kwa mwaka huu 2015 kundelea mbele litajulikana kama PENUEL kisha mwaka husika wa kusanyiko hilo.


Watumishi waliohudumu katika PENUEL 2015 ni  Rev. Dr. Muteba Peter kutoka Johannesburg Afrika Kusini ambaye ni Kiongozi wa Breakthrough Ministry Conference (BMC) pia Mchungaji Kiongozi wa Yahweh Shammah Assembly huko Johannesburg South Africa,Apostle Aaron Timothee Tshimanga kutoka Lubumbashi DRC,Prof. Dr. Zacharie Mayamba Kabengele from Lubumbashi DRC,Bishop Olam Mustapha kutoka Gloryland International Church Arusha Tanzania,Bishop Tengu Yoka kutoka Nairobi Kenya
 na Pastor Moses Ilunga from Nairobi.


Kusanyiko hilo PENUEL 2015 limefanyika kwa muda wa wiki moja kwa mafunindisho ya Neno la Mungu kuanzia asubuhi mpaka jioni,watu walipata kujifunza na kujua ahadi za Mungu katika Maisha yao,Pia maombezi kwa wenye shida na matatizo mbalimbali yalifanyika siku ya mwisho wa Kongamano hilo.


Mwenyeji wa PENUEL 2015 Apostle Onesmo Ndegi na Kiongozi wa huduma ya Living Water Centre Kawe
Rev. Dr. Muteba Peter ambaye ni kiongozi wa Breakthrough Ministry Conference (BMC) na Mchungaji Kiongozi wa Yahweh Shammah Assembly huko Johannesburg South Africa mmoja katika wanenaji wa PENUEL 2015 
Bishop Olam Mustapha kutoka Gloryland International Church  Arusha Tanzania
Bishop Tengu Yoka kutoka huduma ya Resurrection Temple Nairobi Kenya 
Apostle Aaron Timothee Tshimanga kutoka Lubumbashi DRC
Pastor Moses Ilunga kutoka Resurrection Temple Nairobi Kenya 
Prof. Dr. Zacharie Mayamba Kabengele from Lubumbashi DRC 
 Apostle Onesmo Ndegi akizungumza katika Mwenyeji wa PENUEL 2015



















Joshua Mlelwa alikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015 
Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 wakiwa na wake zao katika picha ya pamoja
Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 
Wake wa Watumishi wa Mungu kutoka nchi mbalimbali waliohudumu katika PENUEL 2015 

Living Waters wenyeji wakiongoza sifa katika PENUEL 2015
Living Waters wenyeji wakiongoza sifa katika PENUEL 2015

Waumini wakicheza na Kuimba mbele za Bwana
John Mmbaga katika Drums
Barikeyz Mmbaga katika Piano

Watoto wakionesha ujuzi wao katika kupiga guitar
Pendo Mwamlenga wa Living Waters akiongoza sifa
Rodney wa Living Waters akiongoza sifa
Living Waters akiongoza sifa na kuabudu
wakicheza mbele za Bwana
wakicheza mbele za Bwana
wakicheza mbele za Bwana


Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini
Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini
Watumishi wakifuatilia mahubiri kwa makini
Washirika wa Prof. Dr. Zacharie Mayamba Kabengele kutoka Lubumbashi walioambatana nae kuja katika PENUEL 2015
 Washirika wa Kanisa la Yahweh Shammah Assembly huko Johannesburg South Africa walioongozana na Mchungaji wao  Rev. Dr. Muteba Peter katika PENUEL 2015
Baadhi ya wageni kutoka Lubumbashi waliokuja kuhudhulia PENUEL 2015





GUG Dancers
Paul Clement alikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015









The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015
The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015
The Doxas kutoka Word Alive walikuwepo kuhudumu katika PENUEL 2015





Mombezi kwa wenye matatizo mbalimbali









KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: