Jumatatu, 23 Machi 2015

MAOMBI YA DHARURA YANAHITAJIKA KUMWOMBEA PASTOR BENNY HINN AMBAYE AMELAZWA ICU KWA TATIZO LA MOYO

Mhubiri wa kimataifa ambaye anatumiwa sana na Mungu kwa kufanya ishara na miujiza Benny Hinn amelazwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa tatizo la moyo. mtumishi huyu alimaliza mkutano wake mkubwa huko Brazil. tafadhali chukua muda kumuombea mtumishi huyu.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni