Jumatatu, 22 Desemba 2014

UNAAMBIWA EVENT YA CHRISTMAS CAROLS HAINA MFANO WALIOKOSA DUH.PICHA 30 ZIKO HAPA


18
Kwa mara ya kwanza siku ya jana wakazi wa Dar es salaam wame enjoy na party kubwa iliyofanyika Mlimani City kwenye parking za magari kisha kumshukuru Mungu kwa pamoja katika kuelekea katika sikuku ya Chritsmas.
Party hii ilipewa jina la Christmas Carlos Night ambayo iliandaliwa na Clouds ikishirikiana Chomoza ya Clouds TV,GT-ya Harris Kapiga pamoja na Mliman City,kwaya mbalimbali zilijumuika na kisha kutoa burudani kwa watu waliofika kwenye party hii ambayo haikua na kiingilio.
Umati mkubwa wa watu kutoka katika kono ya Tanzania walifurika kushuhudia historia kwa mara ya kwanza event ya Gospel kufanyika kwenye parking za magari Mliman City….Unambiwa haikuwahi kutokea kwani kila aliyefika aliondoka akisema muda mdogo huku wengine wakidai tuendeleeee!!
Tazama matukio ya picha kwa hisani kubwa ya Unclejimmytemu.com
1
2
Children’s Choir (DPC) walitisha sanaaaaa
7
8
Hapana Chezea umati mkubwa wa watu…peopleeeeee!!
9
9
8
4
Rivers of life wakiongozwa na Pastor Safari akienda sawa
3
7
6
Ruka kama masai….aaaa Pastor Safari
5
19
22
The Voice walikonga nyoyo za mashabiki zao….hawa jamaaaa hapana chezea.
21
23
Chapia Yesu makofi tafadhari…….MC Samuel Sasali kutoka 360 na Chomoza ya Clouds TV on the stage…
24
Sister Pam kutoka The Next Levels….kwenye on and 2 akifanya kweli
25
27
11
Ukisema group waliofanya kweli siku ya jana basi KIJITONYAMA UINJILISTI walifunika mbayaaaa.
12
13
14
Dada yangu Oliva akiongoza jahazi la Kijito.
15
10
John Lisu Baba watatu naye akifanya kweli mdau wangu
9
16
Mc Samuel akisema jambo kwa mkali wa kucheza kutoka kijito….(yani wewe sema neema ya wokovu tu,lasivyo ungekua FM-Akademia)
30
Kitu cha mwendo kilicho fungia event ya Christmas Carols siku ya jana
28
Mwendoooooooooooooooo!!
29
Wakali wa Stage Mc Samuel Sasali na MC Harris Kapiga.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 477775 au Whatup 0784 477775 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni