Jumamosi, 8 Novemba 2014

VIONYE VYOMBO VIPYA VYA GLORIOUS CELEBRATION VIMEGHALIMU SH 30 MIL

Habari tulizozipatakutoka kwa mdau wa kundi la mziki wa gospel linalokamata hapa tz nazungumzia Glorious Celebration, wamepata vyombo vipya venye gharaka ya sh 30 mil. ujio wa vyombo hivyo vitaongeza ubora wa uimbaji katika kundi hilo. kundi hilo linaongozwa na Emanuel Mabisa


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni