Jumamosi, 8 Novemba 2014

HAPPY 96TH BIRTHDAY BILLY GRAHAM

STAR MILCA KAKETE AISHIE CANADA ACHUKUA USHINDI WA TUZO KATIKA MASHINDANO YA MUZIKI WA INJILI. Muziki wa injili Tanzania unazidi kukua na kupanuka kwa wigo wake ukiacha miaka kadhaa hapo nyuma.Mwanamzuiki wa Injili Milka Kakete ambaye alijipatia ushindi katika mashindano ya kimataifa ya muziki wa Injili yaliofanyika katika jiji la Maryland na Milka Kakete ambaye ni Mtanzania anayeishi Canada aliibuka mshindi katika mashindno yaliojumuisha wanamuziki wa Injili kutoka nchi mbali mbali za Afrika. Hii ni sehemu ya mahojiano na kituo kikubwa cha Radio kilichopo Marekani VOA baada ya kupata ushindi huo.

Make money by copying the best: http://bit.ly/best_tips

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni