Jumapili, 9 Novemba 2014

HELKOPTA YA GWAJIMA YAZINDULIWA, MGENI RASMI ALIKUWA MH LOWASA

Mh Edward Lowassa amewahutubia waumini wa kanisa la Ufufuo na Uzima katika Uzinduzi Wa helkopta ya Kuhubiri Injili pamoja kusaidia zoezi la uokoaji wa majanga mbalimbali kama vile wakati wa Ajali,mafuriko,moto nk. yanayojitkeza katika Taifa la Tanzania.Mh Lowassa Amesema atashirikiana nao na kuhakikisha wanapata eneo la kudumu la kuabudia.Kwa Upande wake Mchungaji Kiongozi wa Kanisa hilo Josephat Gwajima amesema Mpango wao ifikapo mwezi kama huu mwakani watakuwa wameshaagiza helkpta nyingine tatu kwa Ajili ya Kuhubiri Injili na Kusaidia katika shughuli za kijamii.
Bonny Mwaitege akiimba


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni