Alhamisi, 6 Novemba 2014

ANGALIA WIMBO MPYA WA AMOS KHAMISI PATA USHUHUDA WAKE WAKATI AKIWA SHOGA, KWELI YESU MWANAMUME

Mtumishi wa Mungu Amosi Khamis amemaliza kutengeneza DVD yake. Akizungumza na blog hii alisema imemghalimu sana kukamilisha kazi hiyo anamshukuru Mungu sana kwa kumuwezesha. DvD hiyo inayokwenda kwa jina la SHETANI HANA NAFASI TENA KWANGU, imesheheni nyimbo 7 ambazo nyingi zinazungumzia ushuhuda wa maisha yake kabla na baada ya kumpokea Yesu.

Zaidi alisema mpaka  sasa amekuwa akifanya huduma katika sehemu mbalimbali na mpaka sasa kuwa mashoga 2 nao wamesha okoka na kuacha kazi hiyo ya shetani. alisema kwa sasa anatafuta msambazaji wa kazi yake na kama atatokea mtu ambaye yuko tayari basi awasiliane nae ili waweze kukubaliana nae.
Hapa alikuwa akiitwa anti Asu

Huyu ni mwanaume si mwana mke ni anti Asu


Hapa akibatizwa na kupewa jina jipya la Amos

Amosi akiwa na wachungaji wake Danstan na Marry Kanemba

Hatimaye akaoa ndoa Takatifu

Moja ya nyimbo za mtumishi Amos

Muanekano wa DVD
Angalia wimbo huu hapa

au bonyeza link hapo chini

https://www.youtube.com/watch?v=VcePepLQJlQ

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO 0784 4777775 au Whatup, +255 715033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni