Jumatano, 7 Mei 2014

SIKU ZA MWISHO ZINAHESABIKA. MWANAMZIKI MAARUFU MAREKANI BEYONCE ANZISHA KANISA WATU WATAKIRI KWA JINA LAKE, NA BIBLIA ZAKE KUTOKA HIVI KARIBUNI

Hizi ni siku za mwisho hii inatokana ishara ambazo Bwana Yesu. kila kukicha kuna mambo mapya yanayoibuka. mwanamziki maarufu huko marekani Beyonce ameanzisha kanisa ya yeye kuwa mkuu wa hilo kanisa akijifananisha na Yesu. kanisa hilo ninaitwa The nation church of Bey link hii hapa http://national-church-of-bey.tumblr.com/ 

Mwanamziki Beyonce ambaye akipamba mfano wa picha za bikira maria mama wa Yesu.

kwe site hiyo inayo hamasisha watu kujiunga na kanisa hilo na wote watatakiwa kukiri kuwa una mkubari Beyonce kuwa bwana na mwokozi wako?. na muda si mrefu watatoa machapisho ya biblia zao zenye jina la Beybles na wanatumia itikadi yao waliyoipa jina la Beyism. katika siku hizi za mwisho tumeona imani nyingi zikiibuka na kuwa na vituko na kama si mauzauza ila mwenye macho haambiwi tazama maana tuonapo hayo tujue ule mwisho umekaribia inatakiwa tukae tayari kumpokea Bwana wetu Yesu.KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni