Alhamisi, 8 Mei 2014

RUNGU LA YESU MWANA HIPHOP ANAYETAKA YESU AOKOE MITAA

Katika miaka ya hivi karibuni hakuna asiyejua wana hip hop na hasa Rungu la Yesu na juiya nzima ya YOM yaani Yes Okoa Mitaa. Rungu alisema kuwa shauku Yake ni kuona watu wengi wanaokoka na kumfuata Yesu, aliasema kama Dar ina wakazi kama Mil 5 sasa inashindikana vipi kuwa na makanisa makubwa ya watu 10,000 au 15,000 alisema kwa sasa watu waliokoka na kunena kwa lugha ni wachache hivyo ipo Kazi ya kuhubiri injili, maneno hayo aliyasema alipokuwa anafanya huduma ya uimbaji katika kanisa la Assaph ministries International lililopo Buguruni Rozana
The blogger nikiwa na Rungu la Yesu
Rungu akichana mistari
washirika wakienda sana na rungu la Yesu
Chapisha Maoni