Jumatano, 7 Mei 2014

MORRIS CERULLO AMTEMBELEA DR DAVID YONGGI CHO.

 Dr David Yonggi Cho ni mchungaji anayeongoza kwa kuwa na waumini wengi hapa duniani na kuingizwa kwenye historia ya kanisa, mwaka 2007 mchungaji huyo alikuwa na waumini 1,000,000, kanisa hilo lililoanzishwa mwaka 1958 limekuwa hata kufikia idadi hiyo, likiwa na wachungaji wasaidizi wapatao 500 na wahudumu wengine zaidi ya 2000 na hata kuwa kanisa la kwanza kuingizwa katika kitabu cha Guinness Book of World Records.

Dr Cerullo wakiwa na Dr Yonggi Cho.

 Morris alimtembea ili kuzungumza nae na kufanya maombi ya pamoja kwaajili ya huduma zao.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni