Alhamisi, 8 Mei 2014

MPIGA GITA MAARUFU DEDE ASALIMISHA MAISHA YAKE KWA YESU

Hakika yesu yuko kazini akiendelea kuokoa na kubadilisha maisha ya watu. mpigaji wa gita maarufu hapa Dar ameamua kukoka na kusalimisha maisha yake kwa Yesu, mwanamziki huyo ambaye ni mpigaji wa bendi ya wazee sugu, ya King Kikii ameamua kuokoka na kumfuata Yesu akizungumza na blog hii katika kanisa la Assaph Ministries International lililoko Buguruni Rozana alisema ameamua kumtumikia Mungu, akielezea uzoefu wake katika tasnia ya muziki alisema alisha pigia solo gita katika bendi mbalimbali na hata kweye albamu ya marehemu Remmy Ongalla ya Kwa Yesu kuna furaha yeye ndiye aliyepiga gitaa la solo, kwa sasa anasali katika kanisa hilo ambalo liko chini ya Rev Ben.

Dede akiwa na ze blogger


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni