Jumatatu, 7 Aprili 2014

PICHA ZA LIVE RECORDING YA UPENDO KILAHIRO KATIKA KANISA LA VCC MBEZI

Tamasha Live Recording la Mwanamuziki wa Kimataifa Upendo Kilahiro lilifanyika katika Kanisa la VCCT Mbezi Kawe limefanyika kwa mafanikio Makubwa.

Mwanamuzi Upendo Kilahiro pamoja na Mume wake Amon Kilahiro waliwaongoza maelfu ya Wakazi wa Jiji la Dar-es-Salaam katika Ibada ya Kumwabudu Mungu jioni ya Leo. Katika Live Recording hiyo ilisindikizwa na Waimbaji kadha wa kadha wakiwemo Addo November, Glory Kilahiro na The Voice.

Mamia ya wakazi wa jiji la Dar-es-Salaam waliojitokeza katika Live Recording hiyo walionekana wakimwabudu Mungu Muda wote wa Ibada hiyo ya Kuabudu.
Ma Mc wa Event Pastor Mwita pamoja na Double G, Godwin Gondwe wakienda sawa
 Mpiga Saxerphone Maarufu Mise Anaeli akienda sawa katika Live Recording ya Upendo Kilahiro
 Lights
Camera na Lights Kwake Anaeli Mise
 Kikazi Zaidi Mise Anaeli
 Mise Anaeli akikamua tarumbets
 Sehemu ya Watu
 Mise akienda sawa na Upendi Kilahiro
Sehemu Ya Umati


Addo akienda Sawa na Upendo Kilahiro
Addo na Upendo Wakienda Sawa
Music Arranger Samuel Yona akiwa kikazi zaidi
 Wadau wa Muziki wa Injili Wakiwa ndani ya Ukumbi
 Fredy Msungu akiwa anaenda Sambamba na Addo na Upendo Kilahiro
Watu Wakienda Sawa
 The Voice Wakiimba Acapella Upendo Kilahiro
The Voice wakinogesha Event ya Kilahiro


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni