Jumatano, 23 Aprili 2014

MSIMU MPYA WA CHOMOZA
Chomoza Rejuvenation.....Revelations 4 Revolutions Msimu mpya wa Chomoza Ya Clouds Tv ndio Jumapili hii Saa 12 jioni unaanza rasmi, na Jumatatu kuanzia saaa 5:30 asubuhi mpaka saa 6:30 Mchana.

Kama kuna wimbo unataka Jumapili tu-ucheze kwenye Chomoza, ama kama Kuna Mwanamuziki wa Gospel unataka kusikia Wimbo wake basi kazi ni nyepesi.

1. Chukua Simu Yako.

2. Nenda kwenye sehemu ya sms

3. andika cmz kisha acha nafasi

4. Andika Jina la Mwanamuziki ama Wimbo unaoutaka tuucheze.

5. Kisha tuma kwenda 15678

Watakata gharama ya Kawaida Kabisa ya sms....

Jumapili hii tunakuja Kivingine Mnoooooo

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni