Jumapili, 30 Machi 2014

MKE WA WAZIRI MKUU AHUDHULIA SEMINA MAALUMU YA WANANDOA ILIYOANDALIWA NA VHM

 hapa nilikuwa nikimkabidhi mama Mhe. Tunu Mizengo Pinda Baadhi ya DVD na Vipindi vya Mafundisho ya Ndoa niliyofundhisha Sehemu Mbalimbali.Ilikuwa ni njema sana!

Mama Mhe. Tunu Mizengo Pinda Akiwa amembeba Mtoto mchanga wa mmoja wa wanasemina na ndoa huku nyimbo na kucheza kukiendelea!

Ilikuwa ni wakati wa kubadilishana mawili matatu na mama yetu Mke wa waziri wetu mkuu katika semina maalumu ya wanandoa Msimbazi center

KILA MWENYE PUMZI NA AMSIFU BWANA HALELUYA!

HIVI NDIVYO MAMA MH. TUNU PINDA ALIVYOKUWA AKIWASILI UKUMBINI TAYARI KWA KUMWAGA SELA KWA WANADOA!
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni