KANISA LA CWC NI KANISA LA LILILO CHINI YA TAG AMBALO LINAONGOZWA NA MCH TIMOTH MWITA. KANISA HILO LILIFUNGULIWA MWAKA JANA TAR 03/02/2013 NA SASA NI MWAKA MMOJA TANGU KUANZISHWA KANISA HILO LIMEFANYA IBADA YA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUTIMIZA KWAKA MMOJA CHINI NI PICHA ZA MATUKIO.
![]() |
| Mwimbaji Chapa Nyota akiimba |
![]() |
| Watumishi wakifuatilia Jambo madhabahuni. |

![]() |
| Mch Timoth akiombea wahitaji wakati wa ibada |
![]() |
| Maombi na maombezi yakiendelea |
![]() |
| Hawa ndio waliookoka katika ibada hiyo |
![]() |
| Watumishi waliokuwa wamealikwa |
![]() |
| Praise team ya CWC wakiwa kazini |
![]() |
| Mwimbaji mkongwe wa Injili Amoni kilahiro alikuwepo kuhakikisa uimbaji unakaa sawa. |
![]() |
| Mch Kiongozi Timoth akikabidhi zawadi ya picha kwa mkurugezi wa chuo cha Sunrise kwa kuruhusu kutumia eneo la shule yake na kujitolea katika mambo mengi ya kanisa hilo. |
![]() |
| Maombi maalumu kwa mama huyu kwa kujitolea kununua viti vya kanisa. |
![]() |
| Mch Timoth ambaye ni mchungaji kiongozi wa kanisa la CWC akiwalisha keki washirika kufurahia kutimiza mwaka 1 |
![]() |
| Picha ya pamoja ya baadhi ya washirika na viongozi wa kanisa la CWC |
![]() |
| Praise team ya CWC wakiwa katika picha ya pamoja na Amon Kilahiro |























Hakuna maoni:
Chapisha Maoni