Jumanne, 4 Februari 2014

YESU WA BRAZILI KUTUA TANZANIA MWAKA HUU, ANAWAFUASI KAMA YESU NA ANAKOISHI ANAPAITA YERUSALEM

 Mzee wa miaka 66 kutoka Brazili kwa miaka 35 amekuwa akihubiri kwa mamia ya watu na kujiita ni Yesu. Inri Cristo mwenye wafuasi kutoka sehemu mbali mbali ikiwa ni pamoja na Uingereza na Ufaransa, baadhi yao huishi pamoja naye eneo la kanisa lake nje ya Brazili. Tangu mwaka 1979 amesafiri kwa nchi 27 kueneza neno lake, hata hivyo amewahi kufukuzwa Marekani, Uingereza na Venezuela kutokana na mahubiri yake.  Kuna tetesi kuwa atatembelea Tanzania mwaka huu.


I am Jesus: Inri Cristo speaks to his disciples from one of his mobile pulpits at his church compound outside the capital of Brasilia

Pichani akiwa na baadhi ya wafuasi wake


Son of god: Inri - which is a Latin acronym  that in English means 'Jesus of Nazareth, King of the Jews', believes that the location of his 'church' is the 'New Jerusalem' 

Katika mahubiri yake amekuwa akisema yeye ni “Yesu wa Nazareti, Mfalme wa wayahudi” Pia anasema eneo la kanisa lake ni Yerusalemu mpya Inri anasema tangu utotoni alikuwa akiifuata sauti ya nguvu ikisema naye ‘inayoongea kichwani mwake’ sauti ilimwambia: `Mimi ni Baba yako. Mungu wa Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo. 

His holy word: Cristo speaks to his followers every Saturday morning from his pulpit at the 'New Jerusalem' compound

Akiwa madhabahini kwake anapohubiri kila Jumamosi

 


Long career: Inri Cristo, who has been preaching as 'Jesus' since 1979, surrounded by followers circa 1982 at Belem cathedral in Lisbon, Portugal 
Alianza zamani tangu mwaka 1979, pichani akiwa na wafuasi wake
 
 
Uncomfortable truths? Inri Christo's controversial views on everything from Christmas to capitalism has seen him arrested 40 times, and expelled from several countries 
wakisikiliza kwa makini wakati mwingine wafuasi wake wanaimba nyimbo za kumsifu
 
 
Preacher and leader: Inri Christo's loyal followers push his pulpit out into the garden in order to listen to his words as 'Jesus' 
–inricristo.org
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: