Jumanne, 30 Julai 2013

PATA VIONJO VYA VYIMBO ZA SARAH SHILLA ZILIZOREKODIWA NCHINI INDIA, BIG UP SARAH

Ikumbukwe mwimbaji wa nyimbo za injili Sarah Shilla alirekodi albamu yake nchini India moja kati ya nyimbo zilizorekodiwa katika kiwango cha kimataifa na studio za kisasa ni huu hapa chini na chini kabisa ni wimbo wa ziada, Enjoy nyimbo zenye sauti nzuri na ujumbe mzuri wenye kukujenga kiroho


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni