Jumanne, 30 Julai 2013

MAANDALIZI YA MKUTANO WA MWINJILISTI BONNKE YAENDELEA VIZURI BADO WAIMBAJI MNAKARIBISHWA KUHUDHULIA MAZOEZI YA PRAISE TEAM


Je wewe ni mwimbaji, kwaya au kikundi, mnakaribishwa kuungana waimbaji wengine kwa ajili ya maandalizi ya mkutano mkubwa wa injili utakaohubiriwa na muhubiri wa kimataifa Dr. Rehinard Bonnke
 
  ni kila jumamosi, pale Magomeni mikumi, katika kanisa la T.A.G. Bado tuhitaji waimbaji, ili kukamilisha idadi ya watu 5000
 Zaidi ya waimbaji 500 kutoka makanisa mbalimbali, wakimsikiliza mwalimu John shabani, alipokuwa akielekeza kuhusu sifa na mbinu za kuwa mwimbaji bora


Mratibu wa mikutano ya Bonnke  barani Afrika, Mwinjilisti Pascal Ado kutoka Togo, akipongeza mazoezi pamoja na kuongea na waimbaji wanaoendelea kuhudhuria mazoezi hayo


KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni