Jumapili, 2 Juni 2013

WATU WENGI WAENDELEA KUFUNGULIWA KUTOKA KWENYE NGUVU ZA GIZA KWENYE SEMINA YA UAMSHO YA SIKU 30

 Semina ya uamsho ya siku 30 inayoendelea Magomeni Tag imekuwa na upako wa kipekee na watu wengi wanafunguliwa kutoka katika nguvu za giza, mafundisho hayo yanayofundishwa na Mch Kanemba ambayo sasa inaingia wiki ya 3 watu wenye shida na mahitaji mbalimbali ili mje mfanyiwe maombi na kufunguliwa kutoka katika vifungo mbalimbali vya shetani. picha zilizopo hapa chini ni sehemu ya ibada iliyofanyika leo. karibu sanaa kwenye semina ukutane na nguvu za Yesu wa Nazareti aliye hai.
Praise team ya Magomeni

Mch D Kanemba mwl wa Semina ya uamsho ya siku 30

Praise wakishusha uwepoWatu wamezama kabisa

Watu waliokuja kuokoka


Mch akiwaombea watu

Eve Enocky Kipwate akiombea wahitaji

Mchungaji Msaidizi Merry Kanemba akiombea wahitaji

Pepo toka uwe mzima kwa jina la Yesu

Mch D Kanemba akiombea wahitaji

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni