Jumatatu, 3 Juni 2013

NEW VINE CHRISTIAN CENTER WANAKUKARIBISHA KWENYE TAMASHA

Kanisa la New Vine Christian Centre lililopo Nyegezi, Mwanza limeandaa Tamasha la Kusifu na Kuabudu lililopewa Jina la HIGHER PRAISES.

Tamasha litafanyika Jumapili ya June 9, 2013 kuanzia Saa 8 Kamili mchana hadi Saa 12:30 jioni. Vikundi mbalimbali vya kusifu na kuabudu vitakuwepo kama MICC na CBCI Praise & Worship. ukumbi ni tema hotel

 
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni