Jumanne, 4 Juni 2013

CHRISTIANA SHUSHO ATWAA TUZO YA GROOVES MUSIC AWARDS KWA MWAKA WA 3 MFULULIZO


Mwanamuziki Wa Injili Christina Shusho kwa Mwaka wa 3 Mfululizo ametwaa Tuzo za Grooves Music Awards zinazoandawali nchini Kenya na Mwaka Huu Mgeni Rasmi akiwa Mhe. Rais Kenyatta.

Hii Ikiwa ni mara ya tatu Mfululizo kwa Christina Shusho kupitia grooves music awards amezidi kuwaacha mbali wanamuziki wa Tanzania walioshindanishwa na yeye. Mwaka Huu katika Kundi la Tanzania Christina Shusho alishindanishwa na Bahati Bukuku, Bonny Mwaitege, Martha Mwaipaja, Rose Muhando,Upendo Nkone na Shusho kuibuka Kidedea katika kundi hilo.

Grooves Music Awards ni Tuzo zinazotolewa Kila Mwaka Nchini Kenya ambapo Wanamuziki wa Nchini Kenya na nchi Jirani hushindanishwa.

Tuzo za Tanzania Gospel Music Awards kwa zilifanyika miaka 3 iliyopita..





MALE ARTIST OF THE YEAR
DK Kwenye Beat
Eko Dydda
Jimmy Gait
Kevoyout
Kris Eh Baba
Willy Paul
FEMALE ARTIST OF THE YEAR
Eunice Njeri
Gloria Muliro
Hellena Ken
Jemimmah Thiong'o
Mercy D'Lai
Mercy Wairegi
GROUP OF THE YEAR
BMF
Christ Cycoz
Kelele Takatifu
MOG
SOC (Saints of Christ)
Tetete
NEW ARTIST OF THE YEAR / GROUP OF THE YEAR
Bahati
Chuchu
Denno
HopeKid
Joyce Omondi
Makenna
VIDEO OF THE YEAR
Conquerer - Joyce Omondi
Emmanuel - Mercy Masika
Katikia Yesu - Kris Eh Baba
Mbona - Daddy Owen & Dennoh
Money Money - M.O.G
Sari Sari - DK Kwenye Beat ft. Anto Neo Soul
SONG OF THE YEAR
Appointment- Jimmy Gait
Mbona- Daddy Owen ft. Dennoh
Mpango wa Kando- Gloria & Evelyne
Sari Sari - DK Kwenye Beat ft. Anto Neo Soul
Sitolia - Willy Paul & Gloria Muliro
Wanajua - Pitson & Mwenye Haki
WORSHIP SONG OF THE YEAR
Asante - Chomba
Ayala - Mercy Wairegi
Hutaniacha - Makenna
Nibariki - Rozy Ohon
Nimekubali - Eunice Njeri
Usinipite - Ali Mukhwana
ALBUM OF THE YEAR
BMF - Rise Up
Dennoh - Naona Mbali
Mambo Yanabadilika - Hellena Ken
Nuru - Mercy Wairegi
Penya - Jemmimah Thiongo
Urban Prayers - Rigga
HIP HOP SONG OF THE YEAR
Beautiful People - Eko Dydda
Bila Yesu - SOC
Bonga Bonga - Kelele Takatifu
Champion - Christ Cycoz
Katikia Yesu - Kris Eh Baba
Sina Chorus - Rigga
AUDIO PRODUCER OF THE YEAR
Bizzy B
Dr. Eddie
Gitonga
Jackie B
Saint P
Teddy B
VIDEO PRODUCER OF THE YEAR
Dr. Eddie
Eagle Films
J Blessing
Princecam
Tiger
Young Wallace
RAGGA / REGGAE SONG OF THE YEAR
Amazing Grace - Guardian Angel
Get Ready - Jfam
Holiday - Hope Kid
Monday till Sunday - Dafari
Pull Up - Kevoyout
This Life - Redemption ft. Simbo & Guardian Angel
COLLABO OF THE YEAR
Holiday - Hope Kid & Altermin Dancers
Kando - Gloria Muliro Ft. Everlyne
Kofi Yoo - Masterpiece ft. D.K Kwenye Beat & Cabassa
Mbona - DaddyOwen Ft. Dennoh
Sitolia - Willy Paul & Gloria Muliro
Wanajua - Pitson & Mwenye Haki
DANCE GROUP OF THE YEAR
Alabaster
Altermin
Flamers
Iced
Jims & Dims
Zionists
GOSPEL RADIO SHOW OF THE YEAR
Gospel Sunday - Milele FM
Inuka - Hot 96
Replay Show - Truth FM
Shangilia - Hope FM
Trinity Connect - HBR
Tukuza - Radio Maisha
RADIO PRESENTER OF THE YEAR
Allan T - Trinity Connect (HBR)
Amani - Shangilia (Hope FM)
Antony Ndiema - Tukuza (Radio Maisha)
Kambua - Inuka (Hot 96)
Esther - FNL (Ghetto Radio)
Jay Njoroge - Mwamba (HBR)
DJ OF THE YEAR
DJ GG
DJ Krowbar
DJ Mo
DJ Sadic
DJ Sanch
DJ Touch
GOSPEL TV SHOW OF THE YEAR
Crossover - NTV
Gospel Garage - K24
Kubamba - Citizen TV
Password - NTV
Rauka - Citizen TV
Tukuza - KTN
PWANI SONG OF THE YEAR
Calender ya Mungu - Anastacia Mukabwa
Chuna Pua - Kimsa
Elshadai - Yvonne Aphia
Maisha Bila - Princess Farida
Nakuabudu - Clemence Tumaini
Nakungoja - Mercy D Lai
RIFT VALLEY SONG OF THE YEAR
Ashe Papalai - Charity Tajeu
Kiboiboi - Faith Kosgei
Maiwek - Joel Kimeto
Osalaba - Sam Manga
Safina - Maryanne Tutuma
Young Man - Mr. Israel
WESTERN SONG OF THE YEAR
Chemishet - Doreen Baruto
Matsai ka Yesu - Gloria Muliro
Nge Ekhisi - Selina Sitati
Olwanda - Sally Siboi
Omusamba Kwa Yesu - Bishop Olumasa
Shibenganyata - Joesph Sishia
EASTERN SONG OF THE YEAR
Kwambata - Dorcas Ndambuki
Ndikasyoka Thinani - Stephen Kasolo
Nibwega - Kendi Meme
Nue Ndete - Mbuvi
Twendaneni - Ameru Crew
Utao - Purity Katieko
NYANZA SONG OF THE YEAR
Amiela Miela - Wamor
Inkanye Nyasae - Caro Nyakwaka
Kwe Kende - Rosemary Ogonya
Many Many - Tetete
Nying Manyien - Geraldine Oduor
Sonko wa Sonko - Christine Atieno
CENTRAL SONG OF THE YEAR
Agocwo - Betty Bayo
Dady Wa Power - C-Bsir
Kindu wa Nii - Dennis Mutara
Kiriro - Simon Njehia
Magegania - Sammy Irungu
Ruciu Rwaku - David Mambo
ARTIST OF THE YEAR (UGANDA)
Coopy Bly
Exodus
Holy Keane Amooti
Jackie Senyonjo
Ruyonga
Wilson Bugembe
ARTIST OF THE YEAR (RWANDA)
Bahati Alphonze
Gaby Irene Kamanzi
Theo Uwiringiye
Tonze
Kabaganza Liliane
Patient Bizimana
ARTIST OF THE YEAR (TANZANIA)
Bahati Bukuku
Bonny Mwaitegi
Christina Shusho
Martha Mwaipaja
Rose Muhando
Upendo Nkone
ARTIST OF THE YEAR (BURUNDI)
David Nkundimana
Dudu Niyukuri
Fabrice Nzeyimana
Fortrand Bigirimana
Redemption Voice
Seraphins Song

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: