Jumanne, 4 Juni 2013

MARTHA MWAIPAJA NA CHRISTINA SHUSHO WACHAGULIWA KUWANIA TUZO ZA AFRICA GOSPEL MUSIC AWARDS WAPIGIE KURA



Kwa Mara Ya Kwanza Tanzania imeingiza wanamuziki Wawili katika Kinyanganyiro Cha Africa Gospel Music Awards. Kwa Miaka Miwili Mfululizo Mwanamuziki Christina Shusho pekee ndiye aliyeingia Katika Kinyang'anyiro hicho ambapo mara zote 2 hakuweza kufanya Vizuri Mwaka huu Christina Shusho Pamoja na Martha Mwaipaja Wameingia Katika Kinyang'anyiro hicho.

Mwaka Jana Umoja Wa Bloggers Uliamua kumuombea Kura Christina Shusho kwa ajili ya Tuzo Hizo na Mwaka huu Media Za Kikristo Zitaungana Kwa ajili ya Kuwaombea Kura watanzania.



Namna ya Kupiga Kura
1. Click hapa...http://www.africagospelawards.com/nominations.html

2. Kisha Bonyeza Kitufe Chenye neno "Vote".

3. Utaingiza Email address yako.

4. Kisha utafuata maelekezo.

Mimi Nimesha Vote...Kazi Ni Kwako.

KWA HISANI YA SAM SASALI

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com

Hakuna maoni: