Jumanne, 21 Mei 2013

WATU WOTE MNAKARIBISHWA KWENYE SEMINA YA NENO LA MUNGU YA SIKU 30. TAG MAGOMENI

Kanisa la TAG Magomeni limeandaa semina ya mafundisho ya neno la Mungu kwa siku 30 kuanzia leo Tar 21/05/2013, mafundisho mbalimbali yatakuwepo pamoja na maombezi kwa wahitaji wote wanaohitaji maombi. semina hiyo itakayofundishwa na Mch kiongozi wa kanisa hilo Mch D. Kanemba
Mchingaji kanemba na viongozi wengine wa kanisa
 ukitaka kufika kanisa lilipo liko Magomeni Mikumi nyuma ya kituo cha daladala cha magari yanayoenda Buguruni utaona paa la kijani na maandishi makubwa All Nations Christian Center

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela au tembelea page yetu na ulike martmalecela.blogspot.com
Chapisha Maoni