Jumatano, 1 Mei 2013

UMOJA WA MAKANISA YA KIPENTEKOSTE WAANDA KONGAMANO KUBWA JPILI HII MNAZI MMOJA KUANZANIA SAA 8 MCHANA

Umoja wa makanisa ya kipentekoste yameandaa kongamano kubwa litakalojumuisha makanisa yote ya jiji la Dar kukusanyika katika viwanja vya Mnazi mmoja. Kongamano  hilo ambalo litaanza saa 8 Mchana na litakuwa na ujumbe kuwa. HERIA BILA KUSHURUTISHWA INAWEZEKANA, wanataka kuitaarifu serikali kuwa nchi inaweza kutawalika bila kutumia mabavu. taarifa zilizoifikia blog hii zimesema kuwa watakuwepo na maaskofu, wachungaji pamoja na viongozi wa Serikali na vyama vya siasa, na wameomba wakristo kujitokeza kwa wingi kwenye kongamano hilo hivyo jumapili.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni