Jumatano, 1 Mei 2013

RICARDO KAKA HAONI HAYA I NJILI NA KUIJULISHA DUNIA KUWA AMEOKOKA

Ricardo Kaka ni mmoja ya wachezaji WALIOAMUA KUMPA YESU MAISHA YAO (KUOKOKA) na sasa anaabudu katika Kanisa la EVANGELICAL REBIRTH (REBORN IN CHRIST CHURCH) ambalo lilianza 1986 pale SAO PAULO, mara nyingi amekuwa akionyesha t-shirt iliyoandikwa maneno ya Mungu ili ulimwengu uweze kujua kile wanachokiamini.  ukiachana na Kaka, pia kipa mstaafu wa Brazil Claudio Taffarel pia AMEOKOKA anaabudu FELLOWSHIP OF CHRISTIAN ATHLETES..wachezaji hawa wote ni Raia wa Brazil...

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni