Alhamisi, 21 Machi 2013

SHUSHO ANAANDA ALBAMU MPYA PATA KIONJO CHAKE HAPA

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Christina Shusho yuko studio kwa maandalizi ya Albamu mpya. habari zilizoifikia blog hii tayari wimbo mmoja tayari umekamilika na nyingine zinaendelea kupikwa wimbo huo ambao blog hii imeupata unakwenda kwa jina la surprise. kama kawaida wimbo huo unaokwenda kwa mtindo wa taratibu kama tulivyozoea kumsikia mwimbaji huyu, huku ujumbe wa huo wa kumshangaa Mungu ukisindikizwa na sauti yake tamu.

Bonyeza play upate kionjo hicho hapo chini,

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni