Jumatano, 20 Machi 2013

EXCLUSIVE "IPONYE TANZANIA" ILIYO WAKUTANISHA WAIMBAJI WOTE WA MZIKI WA INJILI TANZANIA. Baada ya kupikwa na kuakikishwa unakua katika viwango vyakukufikia wewe mtu wangu wa karibu,Hii ndiyo nyimbo iliyowakutanisha waimbaji wote wa gospel Tanzania, nakufanya wimbo mmoja wakuombea amani nchi yetu ya Tanzania.Collabo hili lililofanywa na mkongwe katika tasnia ya mziki wa injili "David Robert" na kuwakutanisha Rose Muhando,Flora Mbasha,Martha Mwaipaja,Upendo Kilahilo,Bahati Bukuku,Christina Shusho,Masanja Mkandamizaji,Jennifer Mgendi na Upendo Nkone.
  
Kwa mara ya kwanza isikilize hapa "Exclusive-Iponye Tanzania

https://soundcloud.com/mr-temu/iponye-tanzania 

kwa hisani ya uncle Jimmy
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni