Ijumaa, 22 Machi 2013

LADY JAY DEE NJOO UFANYIWE MAOMBI SHIDA YAKO ITAKWISHA

Wiki zilizopita niliona kichwa cha habari kwenye gazeti moja hapa nchini yenye habari ya Lady Jay Dee. akilalamika kufanya ngono na wanaume wengi usiku na anataka msaada.

hili tatizo linawasumbua watu hasa vijana na ni wanaume kwa wanawake. nitazungumzia sana kwa wanawake ambako ninalenga kumsaidia Jide. na inahusika katika pande zote mbili. ndoto kama hizo huletwa na majini na si ndoto bali ni vitu halisia ambavyo hufanyika na humfanya mtu huyo kuamka akiwa amechoka wakati mwingine. na si tu kuota kufanya ngono wengine huota wana zaa na hata kunyonyesha kila usiku watoto ambapo akiamka usingizini hamuoni mtoto huyo.

watu wenye mapepo kama haya si rahisi kuolewa maana mapepo huwa haya ruhusu kuolewa, na hata akiolewa ataachika mara kwa mara na kama akiolewa anaweza asipate mimba na kama akipata mimba itakuwa inatoka  mara kwa mara na kama atazaa mtoto anaweza akufa akiwa na umri mdogo. hizo ni dalili za watu wenye kuolewa na majini.

watu wa mila hudhani ni ufahali mtu kuwa na majini na udhani kuwa yanawalinda hapo hakuna za kulinda maana kazi ya ibirisi ni kuchinja kuua na kuharibu, hivyo kama na wewe huwa unaota ndoto kama hizo uwe ni mwanamke au mwanaume ujue unaku lala na majini. kuna msemo wa kiswahili unasema dawa ya moto ni moto hivyo na dawa ya majini ni kuyafukuza na watu wenye uwezo wa kufukuza majini ni watu waliokoka tu kwa kupitia jina la Yesu lenye uweza na nguvu tunaweza kukomesha kazi zote za shetani. waganga wa kienyeji watakulia hela zako bule na sana sana watakuongezea na majini mengine ili yakuharibu zaidi.

kama unahitaji msaada wa maombi utapata bule bila malipo yoyote ili mradi uwe na nia ya dhati kutoka katika tatizo lako hilo unaweza wasiliana kupitia no hizo hapo chini

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni