Jumamosi, 23 Machi 2013

NEW JERUSALEM BROTHERS WAIMBAJI WENYE MAONO YA KUMILIKI STUDIO. KUFUATA NYAYO ZA THE VOICE

          

Kundi la New Jerusalem Brothers ni kundi la waimbaji  wanaomba uimbaji wa akapela wakizunguza na na blog hii walikuwa na haya ya kusema

Moja.:Tunaitaji kufanya video shooting ya album yetu ya kwanza ijulikanayo kwa jina la nitamsifu Bwana yenye nyimbo za accapela nne zenye ubora mzuri sana na nyimbo zinginne tukiwa tumeimba na track ambazo ni mungu wangu ambao ni wa makoma sisi tuimba kwa kiswahili kwa namna ya ajabu sana na nyingine natembea nuruni 
nakutegemea Bwana Yesu atarudi ni nzuri  

Pili; lengo jingine ni kuwa na studio yetu itakayo kuwa ni mradi wetu ambayo itakuwa ikifanya kazi ya kurekodi nyimbo zetu pamoja na za wengine katika fani zote 

Tatu; nikufanya kazi ya mungu kwa nguvu na kwa kasi kwa sababu sisi ni vijana tunanguvu  hata biblia inashuhudia hayo 

Nne; kufanya perfomance za ndani na nje ya nchi kwa kusudi la kumsifu mungu na kufundisha wengine  habari zake 

Tano; kufanya au kushiriki katika mukutano mikubwa ya injili ahata ya kijamii na bila kubagua  na hata ya kawida na pia kushiriki katika matamasha mbali mbali ya  ndani

Sita; kushiriki katika huduma za makanisani ikiwa nisehemu ya mipango yetu kwa mwaka huu


New Jerusalem Brothers wakiimba katika kanisa la ccc


Picha ya pamoja ya New Jerusalaem Brothers

 kwa mawasiliano zaidi piga namba 0657184087;       0717832007

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni