Jumanne, 6 Novemba 2012

SARAH MVUNGI KUWA NA WANA BONGO MOVIE WENZAKE KATIKA UZINDUZI WAKE JUMAPILI AWAAMBIA ACHENI NIMFUATE YESU

 Sara Mvungi ambaye ni muigizaji mkongwe ambaye siku hizi amejikita katikakumtumikia Mungu kwa njia ta uimbaji amewaarika wana Bongo movie wengi katika uzinduzi wa albamu yake siku ya Jumapili ya Tar 11/11/2012


kazi hii yauimbaji amekuwa anaifanya kwa muda sasa na kiu yake siku zote ni kuona wana bongo movie wenzake waweze kupata neema ya wokovu. kwani hawajui walitendalo watu hao watakao hudhulia kwenye uzinduzi huoni Irene Uwoya, Wema Sepetu, Maimartha, Thea, sauda mwilima, Dotinata na wengine wengi. uzinduhuo utafanyika katika kanisa la AKUZAMU lililoko posta mpya.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni