Mchungaji kanemba ambaye yuko masomoni south Africa Juzi amefanya ibada ya ubatizokatika tawi la TAG Magomeni lililoko katika nchi hiyo. kanisa hilolililo anzishwa miaka kadhaa iliyopita sasa na linalosimamiwa na aliyekuwa mch msaidizi wa Magomeni mch Shedrack Ngamanga. katika miezi ya hivi karibuni Mch kanemba alijulisha kuwa mwakani kuna timu ya wainjilisti ambayo itasafiri kutoka Tanzania na kwenda kufanya mkutano wa injili na uinjilisti katika maeneo kuzunguka kanisa hilo katika kutia nguvu kanisa hilo. kwa sasa kanisa hilo ambalo linaendelea vizuri na lina washirika kutoka katika nchi mbalimbaliza Afrika. ikiwapo Tanzania.
Mch Kanemba akiwa na moja ya washirka walio batizwa kwenye ibada ya ubatizo juzi jumapili huko Afika kusini
|
Mch kanemba akiwa na mch anayechunga tawi la magomeni Afrika kusini Mch Shedrack |
|
Mch kanemba akihubiri kwenye ibada |
|
Picha ya pamoja ya washirika na wachungaji katika ibada hiyo |
|
Ubatizo ukifanyika |
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671
AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni