Semina kubwa ya kusifu na kuabudu inatarajiwa kuanza leo katika kanisa la TAG Magomeni lililoko nyuma ya kituo cha mikumi. semina hiyo itakayokutanisha watu mbalimbali wenye kiu ya kujua na kujifunza kusifu na kuabudu Mungu. mfundishaji wa semina hiyo ni mch mitimingi ambaye yeye ni mfundishaji mzuri wa neno la Mungu. semina hiyo itakuwa ianaanza saa 10:30 kuanzia tar 03-07/10/2012 na inatarajiwa kuisha jumapili. kama wewe ni mpenzi wa kusifu na kuabudu tafadhali usikose nafasi hii adimu
|
Mchungaji Peter Mitimingi mwalimu wa semina hiyo |
|
Mch na mama Mch Mitimingi |
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni