Ijumaa, 7 Septemba 2012

UNAMKUMBUKA MCH YOUCEF NADARKHANI KESHO TAR 8 KUHUKUMIWA

katika miezi ya hivyi karibuni kulikuwa na taarifa za mchungaji wa Irani ambaye amekuwa kifungoni kwauda sasa kuwa amesha nyongwa.! lakini blog hii kwa msaada wa mitandao ya kikrito ya kimataifa imeweza kupata habari mpya kuwa mchungaji huyo yuko hai na kesho tar 8 /9 /2012 ndiyo anapelekwa mahakamani ili ikatolewe hukumu ya kunyongwa au la. mitandao mingi ya kikristo sduniani imekuwa kwenye mfungo wa kama week 3 sasa ili kumwomba Mungu kumtetea mtumishi wake.

wanaombi wengi walisimamia lile andiko la matendo 12:1 unao zungumzia habari za kanisa kumwomba Bwana kwa ajili ya Petro ambaye alikuwa amewekwa ndani na Mungu akafanya watu wote tunaombwa kusema neno moja tu ili ikiwa ni mapenzi ya Mungu basi kikombe hiki kimuepute lakini si kama tutakavyo sisi bali mapenzi ya Mungu yatimie amina

link The Voice of the Martyrs (Canada)
Concern is growing for imprisoned Iranian pastor Youcef Nadarkhani, who has been sentenced to death for apostasy. Pastor Nadarkhani is due to appear in court again on Saturday, September 8.
 
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni