Jumamosi, 8 Septemba 2012

MUNGU MKUBWA AMTETEA PASTOR YOUCEF NADARKHANI SASA KUACHIWA HURU BAADA YA KUSHINDA KESI LEO WAPENDWA NWALIFUNGA NA KUOMBA DUNIANI KOTE KWA AJIRI YAKE

 
Mchungaji Youcef ambayo amekuwa kifungoni kwa zaidi ya miaka mitatu  sasa kwa kosa la kuusaliti uislamu na kuwa mkristo hatimaye kuachiwa huru wakati wowote. Taarifa tulizozipata kutoka katika mahakama ilikofanyika hukumu hiyo leo zinaeleza kama ifuatavyo.
Tunamshukuru Mungu kwa kumuweka huru ndugu yetu  na kujibu  maombi yetu. Mchungaji Nadarkhani Youcef imekuwa huru na hakupatikana na hatia kutoka kwa washitaki wake waliomshitaki wa evangelizing Muslims. ametakiwa kuwa gerezani kwa miaka mitatu lakini adhabu hiyo tayari amesha itumikia.  Amekuwa kifungo cha miaka 3 hivyo ataachiwa haraka sana. Tutawajuza wakati tutakapo kuwa na uthibitisho wa siku ya kuachiliwa kwake.



Pastor Youcef akiwa kizuizini

Pastor Youcef akiwa na familia yake kabla ya kuwekwa kizuizini

Blog hii inaungana wa watu wote walioomba na waliohusika kwanamna yoyote ile kumshukuru Mungu kwa hili alilotenda awali mchungaji huyu alikuwa anakabiliwa na hukumu ya kunyogwa sasa kama kaachiliwa huru tena katika nchi kama Irani kwanini tusiseme yeye ni Ebenezer hata sasa amemsaidia Jina la Bwana libarikiwe.

habari ya kufanan ya jana kabla ya kesi
http://www.martmalecela.blogspot.com/2012/09/unamkumbuka-mch-youcef-nadarkhani-kesho.html
Chanzo cha habari hapo chini



We give thanks to God for his deliverence and the answer to our prayers. Pastor Youcef Nadarkhani has been acquitted of apostasy and found guilty of evangelizing Muslims. He has been sentenced to 3 years in prison which he has already served and will be released on bail very soon. I will let you know when we have confirmation of his release.
Please don't forget what happened to Pastor Mehdi Dibaj who had his apostasy charges reversed and then was murdered shortly after his release. Pray for him, his family and everyone involved in his case.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela

Hakuna maoni: