Jumapili, 9 Septemba 2012

PATA PICHA ZA TUKIO LA KUACHIWA HURU KWA PASTOR YOUCEF WA IRAN

Hatimaye Mchungaji Youcef aliyekuwa kifungoni kwa zaidi ya miaka mitatu ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kuuasi uislam na kubadili dini na kuwa mkristo ameachiwa huru leo mchana. Mchungaji huyo alikuwa anyongwe kama Mungu asingeingilia kati, kulikuwa na maombi ya mnyororo ya kufunga kwa wakristo sehemu mbali mbali Duniani kumuomba Mungu amuwezeshe kuachiwa huru na hilo Mungu amefanya leo na mchungaji huyo ameungana na familia yake Utukufu kwa Yesu aliyemuweka hai hadi leo.

Mchungaji katika pozi leo

Familia yake wakimsubiri kwa hamu huku wameshika ua mkononi

Hapa Pastor anatoka kifungoni na familia wanamkimbilia kwa furaha

Hapa ameshaungana na familia yake na wanaondoka kwenda nyumbani utukufu kwa Bwana

Akisalimiana na mke wake
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni