Ijumaa, 28 Septemba 2012

JIANDAE KUBARIKIWA NA VIDEO MPYA YA JOHN SHABANI (MWALIMU WA MUZIKI WA INJILI AFRIKA MASHARIKI)


John Shabani with new best Gospel Video

Pray for this!...Wapenzi wa muziki wa injili wakae mkao wa kubarikiwa na nyimbo mpya za Mtumishi wa Mungu bwana John Shabani. MaandMmoja wa wanafunzi wa John Shabani bi Editha akipiga piano wakati wa kurekodi mkanda wa video wa John shabanializi ya kukamilisha Video hiyo iliyoshirikisha waimbaji mbalimbali wa injili wa ndani na nnje ya nchi yanaendelea vizuri. Baadhi ya waimbaji walioshirikishwa katika Albam hiyo ni: Cosmas Chidumule, Upendo Kilahiro, Faraja Ntaboba (Congo), Kundi la kimataifa Destiny Sisters, Jane Misso, John Komanya, Christina Matai, Bella kombo, Celine Theophil, Tina Marego na wengine wengi.


Kumekuwa na usemi kwamba waimbaji wa injili hawana umoja na kwamba ni vigumu kushirikishana katika nyimbo zao, lakini John shabani amekuwa akipambana na hali hiyo, ndio maana ameamua kuwashirikisha waimbaji mbalimbali. Sio siri kuandaa video nzuri kunagharimu mamilioni ya fedha, lakini kwa msaada wa Mungu tunaelekea kufanikisha. Hakika maombi yako yanahitajika.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni