Ijumaa, 24 Agosti 2012

STUDIO YA NIKOAMBAYENIKO YAZINDULIWA

Studio mpya kabisa ya kurekodi miziki na mambo yote ya dini ya kikristo imezinduliwa jana. studio hiyo ambayo inamilikiwa na mwimbaji wa nyimbo za injili Steve Wambura imezinduliwa na Askofu Kameta. katika uzinduzi huo ulifanyika mwananyamala iliko studio hiyo wachungaji mbalimbali walialikwa kuhuzuria hafla hiyo fupi. baadhi ya picha hapo chini zinaonyesha yaliyojili katika uzinduzi huo.

Askofu Swai wa kinondoni Tag na Askoofu kameta akipiga magita

Mchungaji Mlokozi wa TAG Ubungo akikung'uta dram


 


 KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni