Jumatatu, 27 Agosti 2012

JESSICA HONORE KUTOA VIDEO YAKE WIKI IJAYO

Jesica si jina geni hasa kwa wadau  wa nyimbo za Injili. Mara ya kwanza nilimuona kitambo kidogo
Nyumbani kwa babu mzee John Malecela alialikwa kulikuwa na sherehe ya kifamilia. uimbaji wake ulituvutia wengi saana tuliokuwepo mahari hapo na wengi wakasema ana kipaji cha kipekee na anaimba tofauti sana na waimbaji wengi tuliowazoea. anaweza kwenda nota za juu sana na hata za chiniiiiiii sana anajua vema kuichezea sauti yake. Mara nikamuona kwenye Glorious cerebration   akionyesha kipaji chake, sasa mara hii ametokelezea peke yake usikose kumuona pindi wimbo huo utakapokuwa tayari next week.

nyimbo inaitwa NAPOKEA
muimbaji ni JESSICA HONORE
imefanywa na kampuni ya EXCLUSIVE MEDIA
director wa video ni GODIE
video inategemewa kutoka katikati ya wiki ijayo hivyo watanzania wajiandae kupata video bora na ya kipekee, kwani Exclusive Media imekusudia kuleta mabadiliko katika video za mziki wa njili kwa kufanya video zenye ubunifu na ubora wa hali ya juu.

Crew wakiwa katika Madalizi a kushoot kwenye Lcation

                                                      Director akitoa maelekezo


                                                                      Stand by

Kundi zima lililohusika katika udaaji wa Video hiyo

baadhi ya sehemuza wimbo

hilo nalo ni pozi ndani ya video hiyo 

mambo ya kuweka sawa mwanga

full busy kuhakikisha kinatoka kitu kizuri

hapo napo

nahili je nalo ni pozi
 
Hivyo ni adi tu ya vionjo imbo huo usikose kuuona. pia wasanii waimbaji wengine wanakaribishwakufanya video zenye ubora na ubunifu wa hali ya juu kwa gharama nafuu kupitia exclusive media. simu 0657 975747 au 0758105223

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni