Ijumaa, 3 Agosti 2012

NANI MSHAMBA YA STARA THOMAS SASA IPO MADUKANI

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Stara Thomas amesema kuwa albam yake ya nani ni mshamba imeshatoka na iko sokoni.

Albamu hiyo inapatikana katika sehemu zifuatazo
Dar - Zizzou Morocco
Musoma - New face
Mwanza - Makue Shop
Bukoba - Vocher Center
Morogoro - Ebernezer Music Center

na mikoa mingine wataendelea kutaarifiwa wapi zinapatikana hizo cd.

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni