Jumamosi, 11 Agosti 2012

MIDA YA JANGWANI NDO HII KWA DON MOEN

Macho ya watu wengi leo na kesho ni katika kumuona yule mwimbaji wa kimataifa ambaye amekuwa akikoga mioyo ya watu kwa nyimbo zake zenye mguso wa kipekee si mwingine bali ni Don Moen
Don akijaribu vyombo Jangwani leo asubuhi

Tukutane jangwani usisubiri kusimuliwaKAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni