Jumapili, 12 Agosti 2012

Yaliyoojiri Jangwani siku ya tar 11/08 ndani ya Tamasha la LOVE TANZANIA

Kama umekosa siku ya leo katika viwanja vya jangwani ndani ya Tamasha la Love Tanzania tambua umepitwa na mengi....watu mashuhuru katika tasnia ya muziki wa injili ndani na nje ya Tanzania wamekuwa wakifanya vitu vya ajabu..Kama umekosa napenda kuchukua fursa hii kukuambia pole lakini bado hujachelewa siku ya kesho ambaapo Tamasha hili litaendelea usikose kuhudhuria....Njoo ujione watu wanavyompenda Mungu..

Hapa akiendelea na kujaribu vyombo na namna atakavyoperfom jioni hii

Tunapoongea sasa hivi hawa jamaa ndio wanamalizia shughuli za hii kazi unayoiona

Sio miujiza ni kweli na ajabu kama umekosa hembi ona kazi inavyoendelea


Hii ndio stage ya Kazi toka asubuhi ya leo

Huyu ni mmoja ya wadau waliohudhuria kwenye Love Festival toka asubuhi ya leo Miss Gladness Kilemile

Hili ndilo enelo la waandishi wa habari lilotengwa

Toka asbuhi watu mejaa wakiwa tayari kukutana na Mungu aliye hai

Hapa ndipo eneo la wahudumu walipokuwa wanapewa maelekezo


Hili ndilo eneo maalumu lilotengwa kwa ajili ya mchezo wa Baiskeli na Pikipiki


Wote hawa wakiwa tayari kwa kuangalia michezo ya Baiskeli na Pikipiki


Hawa wote wakicheki jinsi mchezo wa pikipiki unavyoendelea

Watoto nao hawakuachwa nyuma hapa ndipo walikuwa wakifanya michezo mbali mbaliHiyo yote unaiona hapo juu ni mchezo mbali mbali ambayo imekuwepo siku ya leo hapa viwanja vya jangwani

Hawa ndio wahudumu wetu wakiwa wamevalia uniform maalum

Hawa nao walikuwa ndani ya nyumba tayari kushuhudia tukio linaloendelea hapa jangwani
Mpaka na vyoongea sasa hapa jangwani kumejaa mpaka kumetapika


Huyu ndie mtaalamu wa michezo ya watoto hapa Ulimwenguni


Uncle Jimmy akiwa na Upendo Kilahiro tayari kwa kazi hapa viwanja vya jangwani

Papa The Blogger ndani ya nyumba na Swahiba wake Prosper Alfred Mwakitalima


Mtaalamu wa Michezo mbali mbali ya watoto akiwa on the Stage huku mtoto mmoja wapo akijiondokea na Jezi ya Man unted full set plus mpira wa Adidas from Old Trafford

Hawa ndio wanaume wawili walioshusha burudani ya Pikipiki muda sio mrefu

Huyu ni moja ya Wanaume wachache waliocheze Baiskel kwa nama ambayo sijawahi ona.....ana umri zaidi ya miaka 32 na mbili lakini hatari tupuuu

Twende kazi hapa uone Baiskeli inavyorudi kinyume nyume ....yaani rivasi
Tutaendelea kuwahabarisha yale yatakayojiri ndani ya Tamasha hilo la Love Tanzania...Ubarikiwe kwa kuonyesha ushirikiano

habari kwa hisani ya Jacqueline Moshi

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni