Jumamosi, 11 Agosti 2012

Love Tanzania Festival yaanza siku ya Jana kwa Viwanja vya Jangwani kuwekwa wakfu.

Love Tanzania Festival imeanza jana kwa Viwanja vya Jangwani kuwekwa wakfu,Pia watendakazi kupewa madara namna ya kuhudumia watu,Idadi ya watu inayotegemewa kuwepo ni kubwa sana ikidhaniwa kuwa haijwahi tokea Tanzania.
Love Tanzania Festival imekutanisha watumishi wa makanisa mengi nchini na kusahau tofauti zao za kidini kwa ajili kuujenga mwili wa Kristo.Andrew Palau akihubiri jana wakati wakiweka wakfu viwanja hivyo.
Jukwaa linalo tumika katika Love Tanzania Festival likiwa limetoka Nchi ya jirani zetu Uganda na Sound system kwa Ajili ya Ubora wa Event hiyo.
Pona,Sam na wengine wakifanya mazoezi kwa ajili ya Sound check siku ya jana kakika viwanja vya Jangwanai
Christina Shusho,Upendo Nkone na Pastor Safari wakifanya mazoezi kwa ajili kuhakikisha kila kitu kina kuwa sawa.

Watendakazi wakipewa darasa jinsi watakavyo hudumia watu katika Event hiyo


Pastor Safari na Obedi wa The Voice wakiteta jambo baada ya majaribio

Upendo Nkone akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Makanisa waliokuwepo viwanjani hapo,kwa mbali Christina Shusho naye alikuwepo.Wanamziki wakisikiliza Neno kwa makini kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Andrwe Palau
Upendo Nkone na Christina Shusho mara wakutana na camera ya Blogger

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni