Jumatano, 25 Julai 2012

WAKALI WA NYIMBO ZA INJILI NDANI NA NJE YA TANZANIA WATAKAOIMBA JUKWAA MOJA NA DON MOEN PATA VINJO ZA NYIMBO ZAO

Zikiwa zimebaki siku chache kwenda kenye tamasha kubwa litakalo mhusisha mwimbaji wa nyimbo za injili wa kimataifa Don Moen, maandalizi yanaendelea huku mabango yakiwa yanawekwa kila mahali ili kuhakikisha kila mtu anapata taarifa. blog hii katika pita pita mtandaoni imeweza kuona watu kutoka nchi mbalimbali ambao nao wanatamani kuja kumuona nguli huyo wa nyimbo za injili.
                                         http://www.facebook.com/johnson.kibondo
huyo jamaa anishi Congo lakini yuko na mipango ya kuja. sasa je wewe wa Dar ambaye utatumia sh 300 -1000 kama nauli usitamani kukosa.

pata chini pata vionjo mbalimbai vya waimbaji mbalimbali watakao tumbuiza
Huyu Nicola ni mwimbaji wa kimataifa unaweza tembelea page yake hapa chini
http://www.facebook.com/johnson.kibondo#!/NicoleCMullenMusic
Huyu ndo Don Moen mwenyewe ambaye kwa mwaka huu ameweza kuzunguka katika nchi mbalimbali duniani kama India,Dubei na sasa Africa, amekuwa akiongoza maelfu ya watu kumwabudu Mungu, na kwa mara ya kwanza anakanyaga TZ ameshaimba nyimbo nyigi sana ambazo ukizisikiliza zitakuinua katika kumwabudu Mungu
Dave nae ni mkali utamwona jinsi anavyo paform
huyu ni wakwetu hapahapa nitajie kama kuna wimbo mbaya amewahi imba. kama hakuna basi utaungana nami kuthitisha kuwa amestahili kuimba jukwaa moja na Don na kuna news za chini ya capert kama nafasi ikipatikana atarekodi wimbo mmoja akishirikiana na Don moen Naomaba muda upatikane ili aendelee kupenya kimataifa.

haya ni baadhi ya mambo yatakayokuwepo.
The Voice kama kawaida nao watakuwepo kuwakilisha vilivyo kwa kutumia sauti zao si ya kukosa.
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni