Jumatano, 25 Julai 2012

UNA MATATIZO YA MACHO NA UNAHITAJI MIWANI? LOVE TANZANIA FESTIVAL KUGAWA BURE USIKOSE


August 6-10 Love Tanzania Festival will host 4 free reading glass clinics. Please help us get the news out to people who live in these communities. Clinics will be from 9am-4pm daily and qualified eye Dr and volunteers will be onside to as...sist. It's time to Love Tanzania!
1. TAG Church Mbagala
2. Baptist Mission Church - Magomeni
3. Lutheran Church - Vingunguti
4. St Nicholas Anglican Church - Ilala Amana
 


 Kuanzia August 6-10 Love Tanzania Festival (Tamasha la Ipende Tanzania) litatoa huduma 4 za bure za vipimo vya miwani za kusomea. Tafadhali tusaidie kufikisha taarifa kwa watu wanao toka jirani na maeneo yafuatayo. Huduma hizi zitatolewa kuanzia saa tatu asubuhi mpaka kumi jioni kila siku. Waganga wataalamu wakujitolea watakuwa wakitoa huduma hizo. Ni wakati wa kuipend Tanzania!
1. TAG Church Mbagala
2. Baptist Mission Church - Magomeni
3. Lutheran Church - Vinguguti
4. St. Nicholas Anglican Church - Ilala Amana.

Mabox ya miwani inayosafilishwa kuja Tanzania usikose

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni