Jumatano, 4 Julai 2012

TAMASHA LA KABULA GEORGE LAHAMISHIWA VIWANJA VYA BIAFRATamasha la uzinduzi wa DVD ya NITANG'ARA TU ya mwinjilisti Kabula George ambalo lilikuwa lifanyikie kwenye kanisa la Magomeni sasa kufanyika katika viwaja vya Biafra. blog hii imefanya mawasiliano na Kabula baada ya kusikia tetesi kwa kubadilisha mahali pa kufanyika ila waimbaji ni wale wale na saa ni ileile kilichobadilika ni eneo tu la kufanyia uzinduzi huo sababu hazikuweza kupatikana mara moja zitajulikana hapo baadae. Amewaomba radhi watu wote kwa usumbufu utakaotokea kwa kubadilisha eneo la kufanyia uzinduzi wake huo. Mungu awabariki

KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FB Martin Malecela follow me in Twetter martmalecela
Chapisha Maoni