Alhamisi, 17 Mei 2012

MWAKASEGE KUFANYA SEMINA USA

Mwinjilisti mwakasege wiki ijayo atakuwa USA kwa ajili ya semina ya neno la Mungu kuanzia Tar 24 May. katika semina hiyo itapambwa na waimbaji wa injili kutoka Tanzania Jsisters ambao kwa muda sasa wako huko kwa masomo na Flora Mbasha ambaye nae kwa zaidi ya mwezi sasa yuko nchini huko kwa huduma. ni sawa na watanzania kufanya huduma nje ya nchi. Ni maombi yangu aendelee kuwafanikisha watumishi hawa kwa ajili ya utukufu wa Mungu na nchi yetu ya Tanzania


Tangazo la semina hiyo
KAMA UNA MAONI YOYOTE NIANDIKIE HAPO CHINI AU TUMA UJUMBE KWENYE NO +255 715 033 671, +255 767 033 671 AU FACEBOOK martmalecela
Chapisha Maoni